KIOO CHA AKISI

Tuna akisi mwangaza wa jua kwenye hii dunia bila kubagua rangi, kabila wala taifa.

je unamjua superstar aliye temwa na Yanga na aliyeongezewa mkataba ?





Good news kwa mashabiki wa klabu ya Dar es Salaam Young Africans, ikiwa imepita siku baada ya Yanga kufanikiwa kuwasajili wachezaji wawili golikipa Beno Kakolanyakutoka Tanzania Prisons na beki wa pembeni Vicent Andrew kutoka Mtibwa Sugar, leo June 7 wametangaza kumuongezea mkataba kiungo wao wa kimataifa wa RwandaMbuyu Twite.
Yanga wamemuongezea mkataba wa miaka miwili Mbuyu Twite, lakini wamempa barua ya kuvunja mkataba kiungo wao wa kimataifa wa Niger Issafou Boubacar, hivyo huenda kukawa na mpango wa kumuongeza staa mwingine wa kimataifa atakayerithi nafasi ya Issafou Boubacar

No comments

Powered by Blogger.