KIOO CHA AKISI

Tuna akisi mwangaza wa jua kwenye hii dunia bila kubagua rangi, kabila wala taifa.

Tanga stones

Mawe ya Tanga (Tanga stone) haya ni ,mawe ambayo yanachimbwa mkoa wa Tanga Tanzania, na ndio asili ya jina la mawe hayo, 
Kuna aina mbali mbali ya Tanga stones ila kwa haraka haraka unaweza ukatofautisha kwa kuangalia rangi pamoja na uwepo wa mistari yenye uwepo wa asilia.
Baadhi ya hizo aina za tanga stone  ni: Tanga stone nyeusi, kahawia(brown), mchanganyiko wa kahawia na nyeupe.
Je Tanga stones  zinatumika wapi ? 
Tanga stone zinaweza kutumika katika sehemu mbali mbali, mfano kwenye barabara, maegesho ya magari,kuta za nyumba ndani na nje, sakafuni,meza,viti, pia kwenye sehemu za bustanini. Uchaguzi wa Tangastone katika matumizi fasaha wapo wataalamu waliobobea katika hilo watakufanikishia pamoja na ujenzi.

Tanga stone huwa katika vipimo na maumbo  tofauti tofauti kulingana na mahitaji ya mteja 


 mfano wa Tanga stone zilizokatwa katika maumbo mbalimbali.




 Tanga stones zikiwa zimejengewa kwenye ukuta wa nje.


 Tanga stone ambazo bado hazija katwa ,ila pia zipo tayari kwa matumizi.
Tanga stone ambazo tayari zimesha andaliwa katika vipimo mbalimbali.


Kwa wale ambao wanahitaji huduma kama ushauri, ujenzi, usafirishaji, au huduma yoyote juu ya Tanga stone anaweza kuwasiliana na kampuni  ya PPP Solution iliyopo Dar Es Salaam Kimara Korogwe.
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana kwa namba zifuatazo : 0768379355 na 0752729627.
karibu uhudumiwe Mteja kwetu ni mfalme.

No comments

Powered by Blogger.