Pages

Thursday, June 9, 2016

PICTURES OF THE DAY


ENZI HIZO SIMBA NA YANGA

Image result for katuni ya simba na yangaImage result for katuni ya simba na yanga


SASA NI ZAMU YAKE

Image result for katuni ya simba na yanga

BE READY FOR THESE MOVIES


Clown (2014) Poster

Certificate R    -   Drama | Fantasy | Horror
A loving father finds a clown suit for his son's birthday party, only to realize that it is not a suit at all.
Director:
 











The Last King (2016) Poster





Comedy
When three overworked and under-appreciated moms are pushed beyond their limits, they ditch their conventional responsibilities for a jolt of long overdue freedom, fun, and comedic self-indulgence.
Directors:
  | 
Stars:
 Christina Applegate



Certificate PG-13    -   Biography | Drama
A chronicle of Max Perkins's time as the book editor at Scribner, where he oversaw works by Thomas WolfeErnest HemingwayF. Scott Fitzgeraldand others.
Director:
 


Certificate R    -   Action | Adventure | Drama
In the year 1206 Norway is raged by civil war. The King's illegitimate infant son, Håkon Håkonsson, which half the kingdom wants killed off, is guarded in secrecy by two men. A story which changed the course of the country's history.
Director:
 

MBEYA YAKARIBIA KULAMBA LAMBALAMBA YA AZAM

kavumbangu

Klabu ya Mbeya City, ipo anakaribia kuinasa saini ya mshambuliaji Didier Kavumbagu, aliyekuwa ikiichezea Azam FC msimu uliokwisha hivi karibuni
Taarifa za ndani ya Mbeya City zinasema kwa asilimia kubwa, Kavumbagu raia wa Burundi na Mbeya City wamemalizana.
Katibu mkuu wa Mbeya City Emmanuel Kimbe ameiambia Goal, wapo katika hatua za mwishoni kukamilisha makaubaliano hayo ambayo waliyaanza siku chache zilizopita baada ya ligi kumalizika.
“Mazungumzo yetu yamefikia sehemu nzuri ingawa bado hatujaingia naye kwenye mkataba lakini siku chache zijazo mambo yanakwenda vizuri na huenda Kavumbagu akawa mchezaji wetu siku chache zijazo kama tutatimiza masharti anayohitaji,”amesema Kimbe.
Kavumbagu aliyewahi kutamba na Yanga, anataka kuchana na Azam kutokana na kukosa nafasi ya kucheza kikosi cha kwanza msimu uliopita jambo lililomfanya mara kwa mara kulumbana na kocha wake Stewart Hall.

AMETUA KWA WAKATA MIWA

Winga wa kushoto wa Coastal Union ya Tanga Ibrahim Twaha ‘Messi’ amesaini mkataba wa mwaka mmoja na nusu kuichezea Mtibwa Sugar msimu ujao
Kocha wa Mtibwa Mecky Maxime, ameiambia Goal, kwa muda mrefu alikuwa akivutiwa na kiwango cha mchezaji huyo na anafurahi kuona amefanikiwa kuinasa saini ya mchezaji huyo aliyeshindwa kuisaidia timu yake.
“Nimefurahi kuwa na Twaha kwenye kikosi changu cha msimu ujao najua atakuwa na mchango mkubwa kwetu kutokana na uwezo aliokuwa nao ambao naamini pia utasaidia kuongeza ushindani wa wachezaji anaocheza nao nafasi moja,”amesema Maxime.
Maxime amesema ameamua kumsani Twaha ili kuziba nafasi ya winga wake Shizza Kichuya ambaye anatajwa kuhamia Simba msimu ujao baada ya kuwepo kwa taarifa kwamba tayari ameshasaini mkataba wa awali kuitumikia timu hiyo iliyomaliza nafasi ya tatu kwenye ligi ya msimu uliopita.

Twaha Ibrahim.jpg



Wednesday, June 8, 2016

JE UMEIONA HII MPYA YA JUSTINE BIEBER


Wapenzi wa muziki wa Justine Bieber hii ni kwa ajili yenu, Usiku wa June 8 2016 Bieberameachia video mpya ya hit single kutoka katika album yake ya ‘Purpose’ album ambayo inafanya vizuri mitandaoni, Bieber kaamua kuachia video rasmi ya hit single yake ya‘Company’, enjoy dakika 3 za video yenyewe mtu wanguE

RONALDO AWAPINDUA WOTE

Forbes wametoa list ya wanamichezo 100 matajiri duniani, kwa upande wa TOP 10 mchezo wa soka ambao ndio unatazamiwa kuwa unaingiza hela nyingi, Cristiano Ronaldo na Lionel Messi pekee ndio wamefanikiwa kuwa na utajiri uliowafaya waingie TOP 10.
top 10
Top 10 ya wanamichezo matajiri duniani
Ronaldo ndio ameongoza katika list ya wanamichezo matajiri duniani kwa kuwa na utajiri wa dola milioni 88 ambazo ni zaidi ya bilioni 190 za kitanzania, Lionel Messi ameshika nafasi ya pili kwa kuwa na utajiri wa dola milioni 81.4 ambazo ni zaidi ya bilioni 178 za kitanzania.
Cristiano Ronaldo utajiri wake wa dola milioni 32 ambazo ni zaidi ya bilioni 70 za kitanzania unatokana na mikataba ya matangaza kupitia account zake za social network kama twitter, instagram na facebook.

je unamjua superstar aliye temwa na Yanga na aliyeongezewa mkataba ?





Good news kwa mashabiki wa klabu ya Dar es Salaam Young Africans, ikiwa imepita siku baada ya Yanga kufanikiwa kuwasajili wachezaji wawili golikipa Beno Kakolanyakutoka Tanzania Prisons na beki wa pembeni Vicent Andrew kutoka Mtibwa Sugar, leo June 7 wametangaza kumuongezea mkataba kiungo wao wa kimataifa wa RwandaMbuyu Twite.
Yanga wamemuongezea mkataba wa miaka miwili Mbuyu Twite, lakini wamempa barua ya kuvunja mkataba kiungo wao wa kimataifa wa Niger Issafou Boubacar, hivyo huenda kukawa na mpango wa kumuongeza staa mwingine wa kimataifa atakayerithi nafasi ya Issafou Boubacar

CHINA YATANGAZA MARUFUKU KUFUNGA MWEZI HUU MTUKUFU WA RAMADHANI KWA WAISLAMU

Utawala wa China wa chama cha kikomunisti umetangaza kuweka marufuku ya kufunga mwezi wa Ramadhankwa Waislamu wa asili ya Uygur wanaoishi nchini humo.
Kulingana na maelezo yaliyotolewa mtandanoni, utawala ulitangaza marufuku hayo kwa maafisa wa taasisi za serikali, wanafunzi na watoto wa Kiislamu wanaoishi katika eneo la Uygur.
Baadhi ya migahawa ya vyakula pia imeamuriwa kuachwa wazi na kuendeleza huduma zao za vyakula katika eneo la Uygur lililokuwa na Waislamu zaidi ya milioni 10.
Vile vile, maduka ya kuuza vyakula na vinywaji pia yameagizwa kuendeleza shughuli za biashara kama kawaida katika kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Baadhi ya viongozi wa miji kadhaa pia wametoa maelezo na kuarifu kwamba Waislamu hao hawapaswi kuingia misikitini.
Msemaji wa jamii ya Waislamu wa Uygur Dilshat Rashid alikemea hatua hiyo na kusema kwamba utawala wa China hauna haki ya kuingilia kati imani za wananchi.


SOMA HAPA
Waislamu wa China wapigwa marufuku kufunga Ramadhan

Monday, June 6, 2016

Mo Farah avunja recodi ya Dave Moorcroft


Mkimbiza upepo Mo Farah ameivunja rekodi ya mwingereza Dave Moorcroft iliyodumu kwa miaka 34 ya kukimbia mita elfu tatu kwa dakika saba sekunde 32 nukta saba tisa, sasa Mo Farah amezimaliza mbio hizo kwa dakika 7 sekunde thelathini na mbili na nukta sitini na mbili.
Ushindi wake huu ameutunuku kwa mwendazake, Mwanamasumbwi Mohamed Ali akisema alikuwa anampenda sana.

http://www.bbc.com/swahili/michezo/2016/06/160606_mofarah_breakrecord

Orodha ya vyuo vikuu bora zaidi duniani

  Hivi ni baadhi ya top ten ya vyuo bora duniani.  Hivyo kwa wale wanaopenda kusoma nje mnakaribishwa kufahamu nafasi ya chuo na eneo chuo kilipo.

1 . Harvard University


Marekani

2 . Massachusetts Institute of Technology

Marekani

3. Stanford University

Marekani

4. University of Cambridge

Uingereza

5 . University of Oxford

Uingereza

6. University of California, Berkeley

Marekani

7. Princeton University

Marekani

8 . Yale University

Marekani

9. Columbia University

United States of America

10 . California Institute of Technology

Marekani
                  KWA TAARIFA ZAIDI TEMBELEA LINK   ILIYOPO HAPA CHINI
http://www.bbc.com/swahili/habari/2016/05/160505_best_universities

Zanzibar Red Colobus Monkey



NYANI ANAYE PATOKANA ZANZIBAR TUU. HII NI MALIASILI YAKIPEKEE 



Zanzibar Red Colobus Monkey.jpg

 



MBOGA ZA MAJANI NA NYAMA KATIKA KUTENGENEZA PROTINI



WENGI WETU TUNAJUA KWAMBA  MBOGAMBOGA ZA MAJANI NI BORA KULIKO NYAMA. HIVYO WATU KAMA VEGETARIAN  HUTUMIA ASILIMIA KUBWA YA CHAKULA CHAO KWA KULA MBOGAMBOGA .


SWALI LA KUJIULIZA NI KWAMBA ANAYEKULA MBOGA ZA MAJANI NA ANAYEKULA NYAMA NANI ANATIMIZA KIASI CHA PROTINI KINACHOITAJIKA ?


KWAKUANZA  TUTAMBUE KUWA MWILI WA BINADAMU UNAHITAJI AINA KARIBU 20YA PROTINI MWILINI.

NA KATIKA AINA IZO  MWILI WA BINADAMU UNAUWEZO WA KUTENGENEZA AINA  9  TU ZA PROTINI HIVYO NI JUKUMU LETU KUKAMILISHA HIZO AINA NYINGINE ZILIZO BAKIA.

KWAKAWAIDA  NYAMA INAUWEZO WA KUMPATIA BINADAMU AINA ZOTE ZA PROTINI MWILINI, WAKATI

        MBOGA ZA MAJANI PEKE YAKE HAZIWEZI KUKAMILISHA AINA ZOTE ZA PROTINI  KWAMAANA HIYO MLA MBOGA HATIMIZI MAHITAJI YA PROTINI MWILINI HIVYO KUUFANYA MWILI UTAFUTE PROTINI MWILINI .



      HIVYO KWA MAWAZO YA HARAKA HARAKA UTAONA NYAMA NI BORA KULIKO MBOGA ZA MAJANI. LAKINI KUMBUKA KULA NYAMA PIA HULETA MADHARA KATIKA MWILI WA MWANADAMU KUTOKANA NA WADUDU WALIOPO KWENYE NYAMA YA NGOMBE PIA FAT ILIYOPO KWENYE NYAMA PIA HUSABABISHA KUZIBA KWA MISHIPA YA DAMU.

     TAMBUA KWA WALE WANAO KULA MBOGA ZA MAJANI HAKIKISHA UNATUMIA CHAKULA KAMA WALI NA MAHARAGE,  AU TAMBI NA MBOGA YA MAJANI ILI KUKAMILISHA AINA ZA PROTINI MWILINI.


KUJUA KIASI CHA PROTINI MWILI UNACHO HITAJI REJEA KWENYE MAKALA YA PROTINI ILIYO PITA.


        HIVYO NDUGU ZANGU TUCHUNGE MIILI YETU KWA KUIPATIA MAHITAJI YAKE KATIKA KIPIMO SAHIHI.






             TUTAKUJA KUONA MADHARA YA UKOSEFU WA PROTINI MWILINI.

KIASI CHA PROTINI KATIKA MWILI WA BINADAMU

    Protini ni molekuli ndefu na sehemu za lazima katika muundo wa seli za mwili waviumbehai. Zinajengwa na amino asidi. Protini huwajibika kwa maumbile ya seli na kushughulika usafirishaji wa dutu ndani ya seli na kati ya seli za mwili. Musulizinaundwa pamoja na protini za pekee zenye uwezo wa kupanua na kujikaza hivyo kuweka msingi wa mwendo.
Protini zinapatikana katika wanyamamimeafungi na bakteria.

Tumboni mwa binadamu na wanyama protini za chakula huvunjwa kwa asidi asidi ndani yao; kutoka hizi mwili unajenga protini mpya ya aina yake ya pekee.
Uhaba wa protini unasababisha magonjwa; uhaba mkali unaleta unyafuzi. Unyafuzi unashika hasa watoto wanaopewa chakula kingi lakini kabohidrati tu kama ugali bila makundekundenyama au samaki.
vyakula vifwatavyo vina protini nyingi:
nyama
samaki
mayai
maziwa na vyakula kutokana na maziwa kama jibini, maziwa ya mgando
jozi
makundekunde kama soya, kunde, maharage.
      
TAMBUA
Kula nyama nyingi au samaki wengi sio kigezo cha kuwa utakua umeupa mwili mahitaji yake bali umeuongezea mzigo.Mwili huitaji kiasi kutokana na mahitaji yake.

    Namna ya kujua kiasi cha protini kinacho hitajika mwilini

         PIMA UZITO WAKO KISHA ZIDISHA KWA 0.8g 


       Muda mwingine tutakuja kuona umuhimu wa nyama na mboga, pia kipi  kinatoa msaada katika mwili kuliko kingine.